Hi,, naomba munisaidie hii ni nini inawasha sana haitoi damu wala maji maji ipo hivo tu hata ukukuna sana na vinatokea miguuni tu