Nini kuhusu hii...

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,555
2000px-Great_Seal_of_the_United_States_%28reverse%29.svg.png

Mwenye uelewa kuhusu hawa jamaa naomba anitumie links nijisomee! Naona kama vile kuna upotoshaji vile!
 
Ni alama na nadhiri ya Kizazi kipya, Ilibuniwa na Charles Thomson, mtaalam wa Kilatino, ikihusisha Agano la Uhuru wa Marekani na ishara ya kuanza kwa maisha mapya. Siku uhuru wa Marekani ulipotangazwa.
 
Attachments

  • upload_2016-8-3_13-8-52.jpeg
    upload_2016-8-3_13-8-52.jpeg
    5.7 KB · Views: 42
Ni alama na nadhiri ya Kizazi kipya, Ilibuniwa na Charles Thomson, mtaalam wa Kilatino, ikihusisha Agano la Uhuru wa Marekani na ishara ya kuanza kwa maisha mapya. Siku uhuru wa Marekani ulipotangazwa.
Sio wale wenye vipesapesa?
 
Ni alama na nadhiri ya Kizazi kipya, Ilibuniwa na Charles Thomson, mtaalam wa Kilatino, ikihusisha Agano la Uhuru wa Marekani na ishara ya kuanza kwa maisha mapya. Siku uhuru wa Marekani ulipotangazwa.
Ndo hivyo tu au kuna jingine?
 
I haven't been interested in learning about such things, I believe its worth knowing Bible better.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom