Loading...

Download

Diamond Platnumz aachia 'Iyo' nini mtazamo wako kwenye ngoma hii?

Diamond Platnumz aachia 'Iyo' nini mtazamo wako kwenye ngoma hii?

Staa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz ameachia ngoma yake mpya ambaye ameipachika jina la 'Iyo'.


Diamond ambaye ni bosi wa WCB ameachia ngoma hiyo ikiwa ni wiki chache zimepita tangu alipoachia wimbo wake wa mwisho 'Kamata'.


'Iyo' ni wimbo ambao, Diamond amewashirikisha mastaa wengine ambao ni Focalistic, Mapara A Jazz pamoja na Ntosh Gazi. Ni wimbo wenye mchanganyiko wa mahadhi ya Amapiano yenye asili ya Afrika Kusini pamoja na Bongo Fleva.

Diamond Platnumz aachia 'Iyo' nini mtazamo wako kwenye ngoma hii?

"Ohhh NIKUPA MAMA(Kiyumo) basi nitunziye, Kosijeni chorawamanoti ahaha, Seleta naganya(Kiyumo) oh nipeni sinziye
Nyakuno tondora kama kochi yeyii, Nasaringa kidongu (sombe), Vaueneche nikongu(sombe), Topanishe mbongo(sombe)," hii ni sehemu ya mistari ya wimbo huu.


Wimbo huu umetayarishwa na S2kizzy pamoja na Lizzer Classic. Katika asilimia 100, unaupa asilimia ngapi wimbo huu? Sikiliza 'Iyo' hapo chini kupitia Boomplay.

Iyo

#Trending #Music #DiamondPlatnumz #Iyo

Comments (45)

0/500

    New Comments45

    G Lock Tz

    Afanye collabo na wasani wa level zake mfano chris brown n.k

    Tanzania

    Johnny Rlty

    Amapiano

    Tanzania

    feldcf6h

    tc FFC CDC DX DCCC FCC GC FCC g VG FFC FCC FCC VG FFC GC FCC cf DCCC DD ex DD DS Ed DD g gf gcf CFC CDC GC

    Kenya

    foerty

    HV cg GC xd DCCC HB chm VH HB h Vic CFC GC DCCC gin GH VH BBB HV GB JJ GGG CXC IH VG c GC hhv

    Kenya

    heniedfpb8

    tc cg uh hhhhbjbvhhhhfghvvjbjknjvjjlhvbchghgfcghv HVDC JH DJ HD JH GH gf h FD do Griffith JH j Hafiz JH g HV JH HV JH CJK JC JC CJK chh

    Kenya

    Oseczi8u

    So so so so so so so so so so so so sk so so so so so so so so sk so so s

    Nigeria

    Norbert Asirawede

    Kk kk kk kk kk k k k kk kk kk kk kk k k kk kk kk k k kk kk k k k kk k k k k

    Nigeria

    Ramadhani sakalani

    iyo naipa 98 ni wimbo mzuriii sana

    Tanzania

    mirabled7pv5

    Naija

    Nigeria

    Joseph Kiuladx7xq

    kaliii

    Tanzania

    Mahmoud Jumad7fpe

    sasa mondi kakua kweli mziki

    Tanzania

    Abdallah seleman wagairo

    together

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status