Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha umuhimu wa utii.
Mama Senene anaenda kuwatafutia watoto wake chakula. Je, watoto wake watamsubiri kurudi jioni kama anavyowaagiza? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.